Tuesday, 22 September 2015
KNOWLEDGE MASHAIRI Lyrics
VERSE ONE
Nimeketi mahali nchi kavu inabusu pacific,
Mahali silence imeniingira inaruhusu tu maandishi,
Ni artistic,na ina defy sharia a physics,
Kelele ya maadui ikiwa less louder kuliko ukimya wa rafiki…
Picture love na war kama bullets mbili kwa gun moja,
Sheria inalinda na yenye inamada ilitungwa na mtu mmoja,
Sometimes na feel ni ka nimeishi life yangu over and over,
Na kila word ni taboo,ile design siezi bonga…
But dear Hip Hop,unafanya nisahau scars a jana,
Nipate nikikuita blessing na tena wewe ni laana,
Si eti nakukana,ni ukweli ndio tunafaana,
Vile unaacha trail ya symbols nibaki nikitoa maana…
But in the middle of the night sometimes mi huamka na ku wonder,
Life yangu itakua nini incase ukiniacha for another,
What am I to do,na hii familia through wewe nime gather,
Si hyo siku ndiyo nta wish ku crawl back kwa mimba ya mother…
Ndo mi huchukua headphones,na ku replay speech zako,
Vile ulisema heart yako ni yangu,na yangu ni yako…
Tumevumilia blster kwa feet mchanga ikiwa stony,
Na tuka share hatua pamoja na umbrella weather ikiwa stormy…
Chorus;
Romi,Knowledge Mashairi
Tembea name mwenangu
Naifanya vile inastahili
Tembea name nani…(Times 2)
VERSE TWO;
In this last days mahali mabadiliko ni rapid,
Ni funny vile tunahitaji pesa ndiyo kukuwa happy…
Mpaka ku crack jokes,wanaitaji anvil na nyundo,
Wahenga wakasema utajiri ni chakula haingetoshea kwa tumbo,
Mahali mpaka ma preacher,wana adjust ipper na scripture,
The sublime teacher,napitisha sermon to the masses,
Given a wish,singechagua ubatili na rches,
Given a wish,ingeaa another thousand wishes,
Nilizaliwa kwa a small village,iliitwa bottom,
Mahali high risk high reward ilikuwa ni motto,
So wakifuat njia rahisi kulia Romi nilifuata ngumu kushoto,
Saa hii kutafuta urafiki kwao ni kama kutafuta chastity kwa poko,
But njia nimefuata,inaitaji strength na hekima,
Nikishika kalamu na karatasi,bado mimi ni beginner,
Na ka Tanania ni Mecca ya Hip Hop,waambie career yangu ni Medina,
Romi Swahili sooner or later mtaimba hili jina…
CHORUS;
(Times Two)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment