REAL
Verse One
Nipate na musical notes written kwa ukuta,
Return ya Boom Box creative juices kwa mifupa,
Canvas a Hip Hop chini ya sky iko star-lit,
Pen kwa vidole absent-minded ni mistari,
Naandika,ni prowess si Bahati kuitwa Machachari…
Niki twist brain ka Oliver,mpaka angel of death anajua Romi the,
Polymath break words into polymers…
Bila 2nd thought juu first attempt inatosha,
Always on the move kuwa better juu life haina vitu constant,
Loss ya focus,Mc ana angle moja kutusi mwenye compass…
Nairudisha enzi ilikuwa real,ka uneza kumbuka,
Kabla heshima kufa,tulikuwa na real friends si Facebookers,
Ungetaka real music,ingebaki ume face duka…
Kwa open mic ukiwa dope wangekuita mchafu,
Rap battles,Mc angeku attack kabla ya ref ku-toss sarafu…
Waangalie after bundles a Hashish,
Wanaamini they can Jack this,
na the best wanaea kuwa labda make up artists,
get a life and the f your tracklist,
Fake Mcs kwa cypher codes were made for cracking…
Hii ni landmark ya wenye hupenda photocopy,
Siifanyi kupata accolades a trophy,
Na cram veins ka pregnancy ectopic…
The classical inker,kwa heart ni thick passion uneza shika.
Hook; Ma Dj kwa wheels of steel,Keep it real!
Ma Mc na prowess na skill,keep it real!
Ma bee-boy wana swing na beat,Keep it real!
Ma graffiti artist kwa streets,Keep it real!
Shabiki hadhira critic,keep it real!
Music store,ma3 kwa city,keep it real!
Ma-presenter wanapea Hip Hop platform,keep it real!
Ma-producer wana work na passion,keep it real!
(Sample)Abbas:Ni a must,nii keep it real raw,
Mc Kah:Na kwa damu yangu Hip Hop unaweza trace…
(Times 2)
Abbas:Nazileta vile nazi feel straight from the dome…
Verse two;
Ni obvious wamepoteza centre ya gravity,
Industry chasing sweet grind na meno iko all cavities,
Sick rapper?labda na lifestyle disease,insanity,
Yangu ni interplay ya imagination na reality…
Si kama hawa toddler rappers soiling legacy ya ma-predecessor,
*Kazi *kwanza reward baadaye,si eti sipendi pesa,
Ni vile hii art inafanya a bad day ikuwe good,a good day ikuwe better,
Utawaskia wakiteta,wanajua niko better,ku-spike war na letters…
One sie fits all,kuna ma-Mcs tutafungia kwa coffin,
When its easier said than done,well I am done talking…
Strength ni vile niko split na equal percentage,
Split along dotted lines a percentage…
Kua security ya glass house mahali nimetoka,
Protest kwa kichwa,heart ya poet na ulimi ya nyoka…
Mahali age na gender ni nyeno along continuum,
Nikifunza jamii priority niite Chinua…
Na sauti ineza fufua ma-activist na ma-writer,
F ma-biter,tuck watoto na story a ma-freedom fighter…
Power to the people wataikeep clean and tidy,
Why sleep ka wet dream ndo kitu usingizi huahidi,
Niko na flare una-wish ungeridhi,
Poetry yangu echo ina force kivuli ku-dance na rhythm…
Hook;
Ma-writer wanafunza falsafa,keep it real,
Wape mafunzo,Hip Hop darasa,keep it real!
Spoken word,beat box culture,keep it real!
Definition nawapa sasa,keep it real!
No comments:
Post a Comment